>

Search This Blog

TAMKO RASMI LA ALIKIBA

Posted on November 07, 2019

TAMKO RASMI LA ALIKIBA
Alikiba Ameahidi kutoa Tamko lake Rasmi siku ya Ijumaa ya Tarehe 08 November 2019. Na hii inahusishwa ule wimbo wa diamond mpya uitwao "BABA LAO" Ambapo inaonekana kuna maneno ambayo hyanamgusa msanii huyo. Sasa kutokana na hayo yanayoendelea msanii huyo "Alikiba" ameposti kauli hiyo ya "TAMKO RASMI" kwenye ukurasa wake wa instagram"


Website For Promoting African Include latest and oldest Song Through Downloading Free Music in Form Of Mp3 Download and Mp4 Download Music ,Aim is To Promote , Advertise And Rise Our African Music . You Wish To Drop Your Music For Fans To Access Online You Can Send Your Song To ngindomedia.com